Friday, April 9, 2010

TABORA SCHOOL IN A DANCING PARTY!

Two years back palifanyika tafrija kubwa sana katika historia ya mkoa wa Tabora ndani ya viwanja vya Tabora Girls, katika mahafali ya kuwahaga wanafunzi wa Tabora school wa kikundi chao cha imani -UKWATA TABORA SCHOOL.
Picha hapo juu ni kielelezo kimojawapo! si unaona wanawema wanavyo cheza kwa step! mchanganyiko mwema huo, Tabora Boys na Tabora Girls.

Lete maoni!

No comments:

Post a Comment