TABORA GIRLS GIRLS HERE!




Huyu mwanamwema (Carol ,old girl) toka Tabora Girls akitoa hotuba yake kwa kujiamini kwenye afla ndogo iliyoandiliwa na wanawema wa Tabora Boys.kulia ni Mwanamwema Kisula Phelomon,Anaemfuata ni Mwanamwema Raymond Kaswaga, Mwanamwema Nzogere Boniface, John Mallya nyuma ya mtoa hotuba.

Mi nafurahishwa na kumbukumbu hiyo, naombeni maoni yenu wanawema!