Thursday, March 25, 2010

IJUE, TABORA BOYS HIGH SCHOOL,TABORA GIRLS HIGH SCHOOL, TABORA SCHOOLS ASSOCIATION, TABORA, NA MASWALA YA ELIMU YA TANZANIA


TABORA SCHOOLS ASSOCIATION


Tabora Schools Association ni hasasi ya kiraia ilinayohasisiwa na wadau mbalimbali wenye historia ya kusoma Tabora Girls High School na Tabora Boys High School katika level tofauti wakati wa mchakato wao wakutafuta elimu. Hivyo Tabora School katika Blog hii ni Tabora Girls na Tabora Boys High Schools tu, na si zaidi. Ingawa tunajua kuna shule nyingine za Sekondari mkoani Tabora, Kazima Sekondari, Mirambo Sekondari, Huyui, New Era Sekondari, Mihayo Sekondari, Al Hassan Mwinyi Sekondari na nyingine nyingi.

Hata hivyo Tabora Schools Association iniwakaribisha wengine wote kutembelea blog hii na kuitolea maoni.

Kwa kuwa pia mkoa wa Tabora kama ilivyo mikoa mingi Tanzania iko nyuma kidogo ya tekinolijia ya mawasiliano na habari, Tabora Schools Asssociation inajitolea blog hii kuleta habari mbalimbali za maendeleo, changamoto, fulsa na mapungufu ya mkoa wa Tabora.

Karibu Tabora.

Pata historia fupi ya mkoa wa Tabora.
Pata historia fupi ya Tabora Girls High School.
Pata historia fupi ya Tabora Boys High School.
Pata kuwajua watu mashuuri waliosoma Tabora Schools.
Pata kuwajua walim mahili Tabora Schools.